Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Leo tutawajua maandaeitini[emoji1]Maandaeitini wengi katika uzi huu walikuwa hawajazaliwa wakati Mrema anatikisa nchi...
View attachment 1313701
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tutawajua maandaeitini[emoji1]Maandaeitini wengi katika uzi huu walikuwa hawajazaliwa wakati Mrema anatikisa nchi...
View attachment 1313701
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani ilikuwa 1985. Nilikuwa nimebakiza miaka kama minane hivi nistaafu rasmi utumishi kwa mujibu wa sheria.
Maandaeitini wanajulikana tu. Sifa yao mojawapo kubwa ni kudandia mada zinazohusu uandaeitini huku wakijifanya wahenga...kama ulivyofanya hapa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maandaeitini wanajulikana tu. Sifa yao mojawapo kubwa ni kudandia mada zinazohusu uandaeitini huku wakijifanya wahenga...kama ulivyofanya hapa!!!
#Hakuepukiki![]()
Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili
Habarini! Niende kwenye mada. Jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita, ilikuwa tarehe 2. Leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani akiwa amefadhaika mno, nilistuka! Alichonieleza na ambacho...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi we msukuma unamtisha nani lakini?Nadhani ilikuwa 1985. Nilikuwa nimebakiza miaka kama minane hivi nistaafu rasmi utumishi kwa mujibu wa sheria.
Mrema alitingisha sana mpaka ikabidi Nyerere aingilie kati.
Andaeitini wanajulikana tu..Nadhani ilikuwa 1985. Nilikuwa nimebakiza miaka kama minane hivi nistaafu rasmi utumishi kwa mujibu wa sheria.
Mrema alitingisha sana mpaka ikabidi Nyerere aingilie kati.
kitambo sana, hata wazaz wangu walikuwa hawajuaniNadhani ilikuwa 1985. Nilikuwa nimebakiza miaka kama minane hivi nistaafu rasmi utumishi kwa mujibu wa sheria.
Mrema alitingisha sana mpaka ikabidi Nyerere aingilie kati.
Nataniana na wajukuu zangu maandaeitini...[emoji23][emoji23][emoji23] hivi we msukuma unamtisha nani lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali yako kwa kuwa mkweli mkuu...
Unashangaa nini wakati hata wewe ni wale wale tu? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aisee wakati huo nilikuwa ndio naanza ajira yangu ya kwanza yaani huyo niliymkoti ni kama mtoto wangu nalogoff [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Unashangaa nini wakati hata wewe ni wale wale tu? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji818][emoji818]
Hahahahaah ninge banaNmeupitia huu uzi, una mengi ya kujifunza..
Nilitaka nijue comment yako kama mama mwenyew watoto wanne, una nn cha kusema juu ya hii hali
Yaani hapa don anamaanisha kwamba alikuwa na miaka minneAfadhali yako kwa kuwa mkweli mkuu...
Imagine mimi wakati huo niko fifite. Dah siku hazigandi aisee !!!