Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

#Hakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
#KaliwaKimasikharanaMabaharia
 
Nchi walivamia wenyewe.
Wakamuua kiongozi wake halali
Nchi ikavurugika
Maelfu na maelfu wasio na hatia wakauawa
Wamewekeza matrillioni ya dola
Kilichowapeleka (mafuta) hawajakipata
Bunge limepiga kura jana waondoke
Sasa wanachimba mkwara wa vikwazo....
Wanataka walipwe utafikiri walilazimishwa.
Yaani umvamie mtu halafu ulipwe...
Jizazi !!!



 
Nadhani ilikuwa 1985. Nilikuwa nimebakiza miaka kama minane hivi nistaafu rasmi utumishi kwa mujibu wa sheria.

Mrema alitingisha sana mpaka ikabidi Nyerere aingilie kati.
Andaeitini wanajulikana tu..
Hasa Hawa last born wanasumbua Sana.
Wanapenda kujikuza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashangaa nini wakati hata wewe ni wale wale tu? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji818][emoji818]
Aisee wakati huo nilikuwa ndio naanza ajira yangu ya kwanza yaani huyo niliymkoti ni kama mtoto wangu nalogoff [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…