Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Nitaongeza herufi Mutaambiwa ni copy kwa fatma mjukuu wa dikteta mcheshi
Si unajua sauti ya bass kwnagu anasaUnajua mimi siku hizi sikupigiagi simu usiki, maana unavyonong'ona hatare
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangazi MShangazi M...
shangazi U
M - itabaki kuwa siri yakoShangazi M
Yes mpendwa je litapendeza?M - itabaki kuwa siri yako
Bro nishaanza kuhangaika na research 😎happy new year young sister,
mmeshafungua chuo?
Hii herufi ya M imekalia kishamba sanaaa...Yes mpendwa je litapendeza?
Niweke herufi gani hapo badala ya MHii herufi ya M imekalia kishamba sanaaa...
shangazi M...
shangazi marry
shangazi may
shangazi muu
shangazi mia
shangazi Muna
ha ha pambana, maisha magumu sana huku mtaaniBro nishaanza kuhangaika na research 😎
Jamani 😂😂😂 yani viazi vimepikwa tena mnavianika? Najua ile ya kuvianika vikiwa vibichi na vinakatwa kwa mtindo wa crisps ila sijui vinaitwajeMaviazi yaliyopikwa yakaanikwa juani..
Kwani shosti wako hajakuambia siri ya jina Numbisa.?
Nimempikia sana alipokua mtoto huko simiyu
nipe assignment...Niweke herufi gani hapo badala ya M
ha ha ha leo wamekuchanganyia ugoro kwenye urojo wako?nipe assignment...
teh teh teh
itapendeza kama neno shangazi litafuatwa na jina fupi...
shangazi Depal
shangazi Numbi
shangazi Var
shangazi Happy
Kuna siku uliniwakia kwa fekero nikabaki kucheka tu hasa ukiweka neno numbu mara manumbu. Mwisho wa siku nikala banItakua vitamin maparage/manumbu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Blanket la kupumua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#kitucheupeee
#hakunahajayataa
#wakubwawanafaidisana
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo hapa takribani masaa mawili cha kushangaza nimeshuhudia picha moja tu ya big booty....ha ha ha leo wamekuchanganyia ugoro kwenye urojo wako?
ha ha ha hard Drive iliibiwa na wale jamaa ambao wameiba mashine za NIDA mpaka nikusanye tena mizigo upyanipo hapa takribani masaa mawili cha kushangaza nimeshuhudia picha moja tu ya big booty....
hard drive yako ina ukubwa wa 1MB?
kuhusu urojo huku niliko kijijini mbatata zimeadimika sana...
hata chipsi zimekuwa adimu sembuse urojo?
inaonekana huko bara hizi sherehe za krismasi na mwaka mpya mulikuwa munakula sana chipsi....
zenji imefika nyakati kg 1 ya mbatata ni 1800 -2000