moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Salama
Masihi aje ukale raha wapi?Hakuna maji huko. Maisha yatakuwa ya hati hati sana. Kuna ukosefu wa maji. Hewa ya Oksijeni. Vyakula. Vipingamizi ni vingi japo wanasema pengine itawezekana wakiweza kujenga mitambo ya kuzalisha maji, hewa na mifumo ya kuzalisha vyakula. Mars inafaa kama kituo tu cha kwenda hukooo mbali kwenye sayari rafiki kama itagundulika siku moja. Kwa sasa ni kubanana hapa hapa na makombora haya ya nyuklia ambayo kichaa mmoja akiamua kuyaripua basi tunatekezana wote.
Mi naomba tu Masihi arudi ili watu twende zetu akhera tukale raha zetu za milele [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMasihi aje ukale raha wapi?
Kule hakuna haya mambo.
Aendelee kuchelewa tu tuendelee kuondoka kwa zamuView attachment 1317152
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni mwema, ni kwema kabisa.
Hahahahaha hadi nimepaliwa
Hahahahaha aiseeeHili nalifahamu kabisa. Ukarimu wako hauishii jukwaani tu [emoji6][emoji6][emoji6]
Kaka umeozesha bila mahari mbona?
5555 iran wamepata mshirika mpyaHahahahaha hadi nimepaliwa
Hapana, nimemwambia ukweli tuu.Mpambe eehhh
5555555555 nasubiria coco ajeHapana, nimemwambia ukweli tuu.
Sijui kwanini hakuamini๐๐
๐ ๐Kosa ni lako. Ukipotea sana kwenye uzi huu mabaharia wanaanza kuwa na wasiwasi. Jikite hapa wakuzoee mpaka waondoe wasiwasi wa mara sijui parody mara sijui nini...
Na kama hujui mimi ndiye mtunza kumbukumbu hapa. Wewe na mfilisti tayari nimeshawaingiza kwenye kitabu chetu. Msituangushe [emoji1545][emoji1545]