ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
huu ni mwaka 2020 mzee wa Var.... ina maana bado unaendeleza kharamu yako ya kunywa na kula urojo...baada ya kula nadhani ntahitaji chakula flani cha kutia nguvu sio kigumu sana kama kule kwa akina ze don pia kisiwe laini kama urojo wa kule zenji kwa akina Daemusin
#chakula flani cha kipwani