Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Eti kwapa likatema. Jamani [emoji16][emoji16][emoji16]Wataweza ndio maana wametumia nguvu ya social media ili wakipata vikwazo familia ilaumiwe. Social media ni ngao kwao.
Sana kuwa na damu nyeusi kumemponza. Juzi kavaa ka blaus ee bana kwapa likatema ikaonekana wacha amwagiwe maneno ya kejeli mitandaon
ha ha hata yeye walimtumia sana wakati wa TOT Bonanza na mambo ya Nyama choma Festival hadi Tigo naona walimuita pia nakumpa simuyeye mwenyewe haushobokei huo ucelebrity wa kibongo bongo na pengine ameshafahamu madhara yake...
yuko wapi mzee wa liquid na dokta shika
mbona huyo mchumba wako haongei?
hawakumpa hata mshikaki mmoja wa sungura?ha ha hata yeye walimtumia sana wakati wa TOT Bonanza na mambo ya Nyama choma Festival hadi Tigo naona walimuita pia nakumpa simu
haogopi porojo la mnywaji urojo?
usupastaa wa kibongo ni wakijinga sana angebweteka akaacha shughuli zake huko usukamani aje mjini, leo hii angekua analala kwenye vituo vya daladalahawakumpa hata mshikaki mmoja wa sungura?
mbona huyu mchumba amefanana na depal mfuga sungura
swadkta, jamaa anajielewa sana tofauti na wale wajinga waliopita...usupastaa wa kibongo ni wakijinga sana angebweteka akaacha shughuli zake huko usukamani aje mjini, leo hii angekua analala kwenye vituo vya daladala
ha ha ha hizo porojo ni mimi na wewe, mke wangu kaa naye mbalihaogopi porojo la mnywaji urojo?
kazi kwake