Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hawa jamaa ntashangaa sana kama hawajawahi kukutana

ila mmoja hapo ameoa wake watano
kuna mmoja ameongezea mke miezi miwili iliopita...
binti mrembooo kutoka Tanga...
siku hizi anakogeshwa kwa maji yaliotiwa mdalasini, hiliki, asumini, pilipili manga....
kuna siku atatiliwa pilipili mbuzi ndani ya maji...
siku hizi hatoi tena pole
siku hizi hakeshi tena kwa muda mrefu
siku hizi anakula wali na urojowww
siku hizi anajua kuandika kiswahili cha pwani...
alooo baby waja lini huku chatoo
 
ha ha ha ampe ujanja ndugu yake na yeye apate mtoto wa kitanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…