Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
hapo tutaenda keshomfilisti. Sehemu nzuri ya kulia fungate hii. Nao yu kwolifai [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
View attachment 1317668
Nimefungisha ndoa leo...Nawatakia fungate jema. Hoteli hiyo iko kule Pemba kwenye urojo [emoji16][emoji16]Kaka umekula mahari Teyari?
Kazana...naona umeanza upyaaa kwenye mwaka mpyaTumeona
Ni kama vile
Davet na The Happiness
ningendako na Depal
Hata yule aliyeoa leo
Ila hao wote
#wataachanatu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
All the good stuff happens outside our comfort zone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
Nimefungisha ndoa leo...Nawatakia fungate jema. Hoteli hiyo iko kule Pemba kwenye urojo [emoji16][emoji16]
hapana bro hivi vitabu ni ngumu sana kupata hata hard copy yake maana publishers wake hawatoi tena.Alikuwa mwandishi mzuri sana huyu jamaa. Basi tu ni kwa vile kila mtu ni lazima afe...
Unacho soft copy hiki?
That's my baeKazana...naona umeanza upyaaa kwenye mwaka mpya
.
.
#kuachanaSahau
ni mahaba unayonipa hadi najikuta napoteza kumbukumbu saa nyingineMbona nilikubeba wakati unakula mchana au umeshasahau?
Vitabu vyake vyote vimeshachapwa upya na vinapatikana katika maduka mengi. Sema tu wizi wa Kibongo Bongo hii unaweza kuta mwandishi mwenyewe wala hafaidiki na cho chote.hapana bro hivi vitabu ni ngumu sana kupata hata hard copy yake maana publishers wake hawatoi tena.
Labda kama kuna aliyejitolea kuviweka kwenye mfumo wa soft copy.
Familia ingelifikiria hili huenda kipindi kama hiki wangeweza kuuza copy nyingi sana za vitabu vyake hasa hizi hard copy
Mtaachana tu (in Carba's voice) [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]That's my baeView attachment 1317679