Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"...Yeye na Nyerere wanakumbukwa kwa kupinga uonevu"

Sentensi tata ajabu [emoji115][emoji115][emoji115]
 
MAISHA NA MAAJABU YAKE

[emoji818]Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone

[emoji818]Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme

[emoji818]Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda

[emoji818]Aliyegundua pesa alikufa na madeni

[emoji818]Mpenzi wako mpya kwa mwingine ni wa zamani

[emoji818]Aliyegundua simu (Alexander Bell) mama yake alikuwa kiziwi (jiulize aligundua ili kumpigia nani)

[emoji818]Kuna watu wameajiriwa ila wanafundisha wengine jinsi ya kujiajili

[emoji818]Baba mlevi apendi mwanae anywe pombe

[emoji818]anayekupa ushauri wa ndoa yeye mwenyewe imemshinda

[emoji818]Wachina wanatengeneza dawa za kuongeza makalio ila wao wapo kama rula

*MAISHA NI SIMPLE USIPOJICHANGANYA*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…