Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wasukuma na rangi nyeupe dah! Yaani kama wamerogelezewa yaani....[emoji16][emoji16][emoji16]
Ila wasukuma jamani [emoji3][emoji3] wahamie Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngosha ni ngosha tu
teh teh teh
kumbe wasukuma wanapenda sana mabinti machotara pamoja na weupe.

mke wa muheshimiwa magufuli ni mvumilivu sana, yule mzee hajulikani muda gani yupo kwenye hali ya kuongea ukweli au utani (anasukuma tu maneno yake)

wasukuma karibuni mitaa ya mji mkongwe, malindi, mwera, fuoni chunga...
hiyo mitaa imejaa vya rangi tokea enzi na enziiiiii
 
ha ha hata wewe upo sawa tu bro..

Uzima upo huko? Tumshukuru Muumba kwa kukutana tena hapa tukibadirishana mawil matatu

Hakika Mungu ni mwema bro!!

Huku uzima upo ndugu yangu. Tumepata kibali na upendeleo wa pekee mbele ya macho yake Muumba wetu. Tuko hai. Tunapumua. Mibaraka ya ajabu...

Endelea kubarikiwa bro...na wapendwa wako wote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
464133883_313781.jpeg
 
Back
Top Bottom