Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Truth.Truth and You
Itabidi anipe sababu tatu nzuri na zenye mantiki. Halafu anitafutie mtandao/shughuli mbadala ya kuwa nafanya ili kupoteza muda/kurelax....Truth.
Hivi ikitokea mke/mpenzi akasema hapendi utumie huu mtandao wa JamiiForums utachukua uamuzi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gadgets hizi zinahitaji nidhamu sana vinginevyo unaweza kujikuta siku inakatika hivi hivi...
Itabidi anipe sababu tatu nzuri na zenye mantiki. Halafu anitafutie mtandao/shughuli mbadala ya kuwa nafanya ili kupoteza muda/kurelax....
(Nshadandia treni kwa mbele dah...)