Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Thought litakuwa rahisi tu

Je Wanawake wenzio ikiwa marafiki, mashoga na ndugu wananafasi kiasi gani Kwenye kufanya maamuzi yako

Ya kimahusiano?
Kiukweli wana nafasi ndogo sana, ni kama haipo kabisa. Kwa sababu linapokuja suala la mahusiano mimi natofautiana na watu wengi kimtazamo wakiwemo ndugu na marafiki.


Ulishawahi kumuomba mwanamke uliyeachana nae mrudiane?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sina taarifa zozote. Ila najua si kila nnachokiona kiko kama ninavyokiona, kumbuka hata mzee baba ana mke mmoja ila kila siku haachi kutamani wanawake weupe nashawishika kuamini kuna mwanamke mweupe amefichwa mahali[emoji3][emoji3][emoji3] (huu ni utani tu)
Definitely list ni ndefu
Messi pia anaye mmoja
Sir Alex Ferguson ni wengi sana

Wewe una Taarifa anao wengi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hongera sana

Hapana sijawahi na siwezi

Umewahi kuwa na mahusiano na mme wa mtu kwa kujua na ukaendelea
 
Nakuelewa bro. Hili pia ni suala la makuzi na utamaduni husika japo wanasayansi hasa wale wanaochunguza mambo katika mkondo wa Darwin wanafikiri kwamba kuna sababu za kimabadiliko zinazosababisha wanaume wawe susceptible zaidi kucheat kuliko wanawake.

Nilikuwa namchemsha tu Mtakatifu ila mwanaume (anayejielewa) anaweza kabisa kuwa na mwanamke mmoja bila hata kuwa na vigezo vya Masoud. Ni suala la maamuzi tu hasa baada ya mtu kuwa umefanya ujinga wako huku na huko siku ukija kumpata mwenzi anayekuelewa na mkapendana basi hakuna haja ya kuhangaika tena kwa sababu kusema kweli hakuna faida yo yote ya kufanya hivyo mbali na majuto tu huko mwishoni.

Shida hata hivyo ni kwa hawa maandaeitini. Sayansi inatwambia kwamba wako wired kucheat na kusema kweli tusiwashangae sana wakifanya hivyo japo pia siyo kisingizio.

Hii ni mada ngumu kwa sababu kuna variable nyingi mno tena zinazoingiliana...

Saint anne nisamehe kama nilikukwaza [emoji1545][emoji1545][emoji1545]



 
Hongera sana

Hapana sijawahi na siwezi

Umewahi kuwa na mahusiano na mme wa mtu kwa kujua na ukaendelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili swali buana.
Ndio, nilikuwa najua hata kabla hatujawa close, ilianza kama utani utani mara heee....[emoji125][emoji125][emoji125]

Hivi ikitokea mdada amekutongoza utareact vipi


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni ukweli Mishil kwa mfano christian Ronaldo ana wanawake wengi inajulikana Neymar pia
 

Nimewahi kutongozwa mara Mbili nili react kawaida tu lakini nilikataa


Ulijihisi vipi, na unajihisi vipi mpaka sasa je Bado mnaendelea na mahusiano yenu?
 
Nimewahi kutongozwa mara Mbili nili react kawaida tu lakini nilikataa


Ulijihisi vipi, na unajihisi vipi mpaka sasa je Bado mnaendelea na mahusiano yenu?
Daah unaonekana upo cool kwenye keyboard na huko duniani pia [emoji4][emoji4]
Hata hatukuenda mbali, akili zilinirudia kabla hatujapiga hatua ya mbele zaidi (we mtu mzima naamini umeelewa[emoji3][emoji3])

Una siri yoyote ambayo hutaki watu waijue?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kiukweli sina siri yeyote ambayo sitaki watu wajue



Wakati Upo naye kwenye mahusiano ulikuwa na mtu mwingine?
 
Kiukweli sina siri yeyote ambayo sitaki watu wajue



Wakati Upo naye kwenye mahusiano ulikuwa na mtu mwingine?
[emoji23][emoji23][emoji23] hili swali la mwisho kuhusu hiyo ishu, sijawahi kuweza kupenda watu wawili kwa mpigo.
Unaweza kutoka na ex wa rafiki yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…