Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Si kweli mpendwa nipo labla huoni comments zangu.Sijaona comment yako mda humu
U hali gani?
Si kweli mpendwa nipo labla huoni comments zangu.Sijaona comment yako mda humu
Si kweli mpendwa nipo labla huoni comments zangu.
U hali gani?
We be Chilin' [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1323487
Ubarikiwe mpendwaNipo njema
Kwema kaka ake
how are you today my womanMorning love
Ubarikiwe mpendwa
Kwani Bradha alisharudi toka busisi?[emoji16][emoji16][emoji16]
#FreeBradha
#FreeBradha
Nani kakuteka eti mrembo?Hahah, andaeitini mnapenda uzee sana
#NjemaSana
#Naona_Umeamshwa_na_Wifi😀
[emoji23][emoji23][emoji23]bidada anapenda UEFA eeh??Hahaha
Muimbaji kutoka Colombia, Shakira ambaye ni mpenzi wa beki wa FC Barcelona, Gerald Pique amesema hataki kufunga ndoa kwakuwa mechi za nje ya ndoa ni tamu kuliko za ndani ya ndoa.
#Ndoa #UhuruAddress #LoveIsIand View attachment 1323741
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeona ee😄😄😄😄😄Mpendwa anakutafutia ban.
Hivi carba una nini wewe? [emoji23][emoji23] niliiona nikaipotezea
Kumbe amekwama busis? [emoji23][emoji23]
Huku kheri tu,tunashukuru MunguHivi carba una nini wewe? [emoji23][emoji23] niliiona nikaipotezea
Mimi sijambo carba, habar za kwako?
Nmekumiss aise
how are you today my woman