Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Sana aise hilo la watu kufungulia vyoo nalo huwa linanikera sana,, Unapita barabarani unasikia harufu za vinyesi tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekuficha mwambie namsalimia.
Yaani hilo ni eneo korofi ....kila mwaka hiyo hali huwa inajirudia ....lakini ajabu ni kwamba serikali mpaka leo bado haijaja na plan Inayoweza kuondoa hiyo kero
Mbaya zaidi pamekuwa hivyo zaidi baada ya ile Yard ya mwendokasi kujengwa pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinacho nifanya nipate faraja ya Moyo---
Huu uzi una watoto wazuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje mkuu, wengine ni vidume tu ila wameamua kubana pua [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yard ya mwendo kasi imevuruga miumdombinu ya bonde la Jangwani.
Hakuna namna nyingine ila ni gharama tu
Serikali inapaswa kuliinua eneo hilo ili kuendana na hali ya sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dadaNi mimi au huyo dada?
Soma ujumbe wake, una mazingatio sana.
Hata iwaje bado kuna tofauti kubwa baina yetu na ni ngumu sana kuilinganisha
Sent using Jamii Forums mobile app
🌧🌧🌧 upande bustani ya mboga mbogaKinacho nifanya nipate faraja ya Moyo---
Huu uzi una watoto wazuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app