Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila huu mji sijui una nini,, kwanza joto kali pili hata mvua zikinyesha kidogo tu barabara hazipitiki na madaraja yanaanguka..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mji umebuniwa na mtawala wa kiarabu alyekuwa akitawala Zanzibar na maeneo mengine ya Pwani ya Africa mashariki miaka 200 iliyopita
Tangu wakati huo serikali zote zilizopita, wajerumani, waingereza na serikali huru zimefuata miundombinu ileile.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…