The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Jamani Jamani,
Jamani Jamani,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inanihusu hii...familia nzima naiona jelaMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku Watu wenye vitambulisho vya NIDA kuwasajilia wenzao wasiokuwa navyo laini zao kwa alama za vidole kwa madai ya kuwaokoa wasifungiwe.
•
“Atakayebainika anatumia namba yake ya NIDA kumsajilia laini mwenzake, adhabu ni kulipa faini isiyopungua Million 5 au kwenda jela miezi sita au adhabu zote kwa pamoja” - TCRA
#MillardAyoUPDATES
All the good stuff happens outside our comfort zone.
Wee nipatie tu namba babe, ata ukienda jela daddy atakutoa[emoji23][emoji23][emoji23]Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku Watu wenye vitambulisho vya NIDA kuwasajilia wenzao wasiokuwa navyo laini zao kwa alama za vidole kwa madai ya kuwaokoa wasifungiwe.
•
“Atakayebainika anatumia namba yake ya NIDA kumsajilia laini mwenzake, adhabu ni kulipa faini isiyopungua Million 5 au kwenda jela miezi sita au adhabu zote kwa pamoja” - TCRA
#MillardAyoUPDATES
All the good stuff happens outside our comfort zone.
[emoji23][emoji23]Inanihusu hii...familia nzima naiona jela
[emoji23][emoji23][emoji23]Wee nipatie tu namba babe, ata ukienda jela daddy atakutoa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] usimsahau na Davet mtoto wa Balozi[emoji23][emoji23][emoji23]
Babe ngoja tumwambie Numbisa maana dady ake ni mwanadiplomasia
Ama tuongee na wakishua ningendako watusaidie
All the good stuff happens outside our comfort zone.