Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku Watu wenye vitambulisho vya NIDA kuwasajilia wenzao wasiokuwa navyo laini zao kwa alama za vidole kwa madai ya kuwaokoa wasifungiwe.
•
“Atakayebainika anatumia namba yake ya NIDA kumsajilia laini mwenzake, adhabu ni kulipa faini isiyopungua Million 5 au kwenda jela miezi sita au adhabu zote kwa pamoja” - TCRA
#MillardAyoUPDATES

All the good stuff happens outside our comfort zone.
Aisee
 
55555 haiwezekani inlaw, sisi wana nzengo Tunaijua usagara moja kubwa ya Tanga tu.[emoji23][emoji23][emoji23]



#NaonaUmekujaPwani
#KupungaUpepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tembea uone aunt. Usagara maarufu kwa wapanda mabasi sio ndege kama wewe wa kishua bana

Google usagara mza yaani vile mzani wa mwisho kuingia jiji la miamba
 
FB_IMG_1579360155431.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom