Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tembea uone aunt. Usagara maarufu kwa wapanda mabasi sio ndege kama wewe wa kishua bana

Google usagara mza yaani vile mzani wa mwisho kuingia jiji la miamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinihamishie magoli inlaw


#nimegomaKuamini
 
Hata hivyo, kutokana na wingi wa watu wanaotafuta kitambulisho cha taifa ambacho ndicho kigezo pekee cha kukubalika kusajiliwa, Rais John Magufuli aliongeza muda huo wa siku 20 zaidi kuanzia Januari mosi hadi 20.
 
Kwa mujibu wa TCRA, tangu kuanza kwa usajili huo Mei mwaka jana hadi kufikia Januari 12, laini za simu zilizokuwa zimesajiliwa kwa alama za vidole ni milioni 26 kati ya laini milioni 48 zilizosajiliwa kawaida na kutambuliwa na mamlaka hiyo
 
Maagizo hayo yalilenga kuwataka Nida kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi ili waweze kupata vitambulisho au namba za utambulisho. Hata hivyo, katika ofisi za Nida kote nchini, kumekuwa na foleni kubwa ya wananchi kuhitaji huduma hiyo.
 
Mbali na Serikali zitapata athari kwa kiasi fulani katika ukusanyaji mapato kwa taasisi zake kama TRA, Mifuko ya Jamii, malipo ya maji na umeme lakini endapo laini hizo zitazimwa zitaathiri huduma za kifedha katika mabenki (sim banking) kwenda kwenye simu na simu kwenda benki.
 
Athari nyingine itakuwa kwa ajira binafsi ambazo baadhi wamejiajiri kama kuchajisha simu vijijini na kwenye vituo vya mabasi na maeneo ya biashara, kuwa mawakala wa mitandao ya simu. Hawa wataathirika kwani wateja hawatokuwapo kutokana na upungufu wa wahitaji.
 
Back
Top Bottom