Ayyanna
JF-Expert Member
- Jan 5, 2020
- 397
- 2,648
😊😊 kumbe sijarudi leo mchana?
#hiziKaziZitanitoaRoho
Naona unajiandikia Talaka taratibu
😊😊 kumbe sijarudi leo mchana?
#hiziKaziZitanitoaRoho
usijali kabisa tutanunuaUninunulie namimi nyumba kama hiyo
asanteusijali kabisa tutanunua
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku Watu wenye vitambulisho vya NIDA kuwasajilia wenzao wasiokuwa navyo laini zao kwa alama za vidole kwa madai ya kuwaokoa wasifungiwe.
•
“Atakayebainika anatumia namba yake ya NIDA kumsajilia laini mwenzake, adhabu ni kulipa faini isiyopungua Million 5 au kwenda jela miezi sita au adhabu zote kwa pamoja” - TCRA
#MillardAyoUPDATES
All the good stuff happens outside our comfort zone.
tatizo hukunikumbusha mda wa chakulaNaona unajiandikia Talaka taratibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] toto ya balozi tupatie basi namba ya nida[emoji23][emoji23][emoji23]
Babe ngoja tumwambie Numbisa maana dady ake ni mwanadiplomasia
Ama tuongee na wakishua ningendako watusaidie
All the good stuff happens outside our comfort zone.
ila hapa mitandao ya simu watapoteza wateja wengi sanaTunanyanyaswa kama tuko ukimbizini kwa sababu zisizojulikana
tatizo hukunikumbusha mda wa chakula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee nipatie tu namba babe, ata ukienda jela daddy atakutoa[emoji23][emoji23][emoji23]
sitarudia tena mke wanguNakukumbushaje wajibu wako?
Esta za hapo Busisi..? [emoji51][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Busisi nilishahama saiv nipo huku usagara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Esta za hapo Busisi..? [emoji51]
Na Cole Williams mtoto wa waziri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usimsahau na Davet mtoto wa Balozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] toto ya balozi tupatie basi namba ya nida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umeamua kunicheka
All the good stuff happens outside our comfort zone.