Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku Watu wenye vitambulisho vya NIDA kuwasajilia wenzao wasiokuwa navyo laini zao kwa alama za vidole kwa madai ya kuwaokoa wasifungiwe.
•
“Atakayebainika anatumia namba yake ya NIDA kumsajilia laini mwenzake, adhabu ni kulipa faini isiyopungua Million 5 au kwenda jela miezi sita au adhabu zote kwa pamoja” - TCRA
#MillardAyoUPDATES

All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Inanihusu hii...familia nzima naiona jela
 
Wee nipatie tu namba babe, ata ukienda jela daddy atakutoa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…