Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wakule hasara,serikali wajinga sanaNimejiandaa kisaikolojia.
Ila wazime tu simu yangu nadhani na hasara wataipata toka kwangu na kwa wenzangu watakaotuzimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikirudi nyumbani nitayatengeneza mwenyeweSafi parachuti nayo yapo vizuri. Ya nazi pure ni bei kidogo ila mazuri
Safi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*Laini yangu ya Vodacom*
*BALANCE*
1. Salio la kawaida Tsh 0.00
2. Salio la M-PESA Tsh 0.00
3. Salio la M-PAWA Tsh 0.00
*MADENI*
1. Nipige tafu deni Tsh 3000/=
2. M-Pawa deni Tsh 58000/=
3. SONGESHA deni Tsh 76500/=
_Laini haijasajiriwa kwa alama za vidole[emoji276], Sina namba ya NIDA [emoji16] nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote.
*Laini yangu ya Vodacom*
*BALANCE*
1. Salio la kawaida Tsh 0.00
2. Salio la M-PESA Tsh 0.00
3. Salio la M-PAWA Tsh 0.00
*MADENI*
1. Nipige tafu deni Tsh 3000/=
2. M-Pawa deni Tsh 58000/=
3. SONGESHA deni Tsh 76500/=
_Laini haijasajiriwa kwa alama za vidole[emoji276], Sina namba ya NIDA [emoji16] nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote.