Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Saiv huduma muhimu utapata kwa kutumia hicho kitambulisho mfano kuombea passport, kufungulia account bank,kumdhamini mtu hasa mahakamani,wakati wa kusafiri hasa kwa ndege muhimu kuwa nacho sema kwa sasa wanatangaza tu kuhusu kusajilia lineNchi ya kipumbavu Sana hii.
Kitambulisho Cha taifa kinahusianaje na namba za simu?
Huu Kama Sio upumbavu Ni Nini!?
Sasa brother nisajili ili iweje!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jose Mourinho - Pogba (Pauni 89.3milioni) na wengineokamsajili nani???
😀😀 watag waoneWanachanganya madesa hao, Wewe ni Chelsea bae..ila TH ni Man City
Sawa kina umuhimu,lakini kina uhusiano gani na line za simu?Saiv huduma muhimu utapata kwa kutumia hicho kitambulisho mfano kuombea passport, kufungulia account bank,kumdhamini mtu hasa mahakamani,wakati wa kusafiri hasa kwa ndege muhimu kuwa nacho sema kwa sasa wanatangaza tu kuhusu kusajilia line
Ukiwa unasajili pale nida unaweka fingerprints hivyo ukija nacho kwa wakala either kitambulisho au namba utaweza kusajili pale fingerprints za nida zikakubaliana na hizo unazoweka kwa wakala,hivyo inakua virahisi kutambua wewe ni mmiliki halali wa line hio.
Kwanini waweke miundombinu mibovu na kutishia watu kufungiwa laini na Hali wanajua utekelezaji wao Ni mbovu?Ukiwa unasajili pale nida unaweka fingerprints hivyo ukija nacho kwa wakala either kitambulisho au namba utaweza kusajili pale fingerprints za nida zikakubaliana na hizo unazoweka kwa wakala,hivyo inakua virahisi kutambua wewe ni mmiliki halali wa line hio.
Pia mbelen mfumo wa polisi utabadilika ikitokea ujambaz wataanza kwanza kuoanisha fingerprints zilizopo nida kumsaka mhusika.
Tayali bae!![emoji3][emoji3] watag waone
Lawama ziwe pote. Kipindi wanaandikisha mitaani wananchi hawakujitokeza vya kutosha hivyo wakaona watoe sababu moja kubwa ili watu wapate muamko wa kwenda kujisajili. (Hii sababu wengi wanaona vitisho,kwangu sio kitisho ni changamoto ya kuchangamkia mabadiliko ya teknolojia)Kwanini waweke miundombinu mibovu na kutishia watu kufungiwa laini na Hali wanajua utekelezaji wao Ni mbovu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayali bae!!