Kabisa.
Huyu mkokaa yaonyesha haijui historia ya Liverpool na washangiliaji wake wenye kelele,zogo, fujo, na kila aina ya ghasia.
Hawa wanaitwa The Kop.
Kwenye historia ya Liverpool, Kop wamesababisha umwagikaji wa damu za mamia ya watu zaidi ya mara mbili barani Ulaya, hali iliyopelekea kufungiwa miaka mitano kushiriki UEFA CHAMPION LEAGUE.
Unachofanya wewe Saint anne hapa ni kitu kidogo sana mbele ya kile wanachofanya Kop original.
Ukitembelea uwanja wa Anfield pale pana "Museum" kuna kumbukumbu ya matukio kadhaa ya Kop.
Halafu mpira ni mchezo wa utani na kushangilia, kama huwezi utani wa football ndiyo kusema umeshindwa kushabikia mchezo huo.
Tafuta mchezo mwingine
View attachment 1329661View attachment 1329662
Sent using
Jamii Forums mobile app