The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Natafuta Crush jamani[emoji19][emoji19][emoji19][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anti bana
#anamoyowachuma
Mzigo Ni mzito Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bradha ni single ujueNatafuta Crush jamani[emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeJirani si unajua hii baridi ya juzijuzi 😂 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani alishaondoka Busisi.?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bradha ni single ujue
#hakunagaushemeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huku nyasaka ntapataje habari za busisi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani alishaondoka Busisi.?
#Kuchapiwahakuepukiki[emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23]dahJamani jamani majukumu yatanizidia.
Klopp mwenyewe yupo na liver pekeyake..Mimi Nani niwe na timu 2 kwa mpigo!??[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara alama za vidole. Mara hivi. Sijui pasipoti za kielektroniki. Vitambulisho vya taifa. Kuna ajenda kubwa hapa. Kuwabana watu. Kuwafuatilia vizuri. Big Brother yupo kila mahali. Na hizi ni dalili za mwanzo za udikteta. Na ukiinua kichwa tu unagongwa. Wana alama za vidole. Na sura ya kila mtu. Ndiyo silaha kubwa ya Wachina hii. Watu mabilioni wote wametulizwa...Kimyaaaa !!!24hrs nipo hewani na Sina mpango wa kwenda huko nida,liwalo na liwe
Nida wajinga Sana.
Kiujumla hii nchi Ina viongozi wapumbavu.
Akili zao sometimes sijui huwa wanaziweka wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema kamanda. Nilitegemea mfungwe wikendi iliyopita lakini mkachomoa. Sikufurahi kabisa [emoji36][emoji36][emoji36]
Njoo unywe soda hapa mwakaleli...nitakupandisha mlima na kukushusha Bure kabisa[emoji3526][emoji3526]Mara alama za vidole. Mara hivi. Sijui pasipoti za kielektroniki. Vitambulisho vya taifa. Kuna ajenda kubwa hapa. Kuwabana watu. Kuwafuatilia vizuri. Big Brother yupo kila mahali. Na hizi ni dalili za mwanzo za udikteta. Na ukiinua kichwa tu unagongwa. Wana alama za vidole. Na sura ya kila mtu. Ndiyo silaha kubwa ya Wachina hii. Watu mabilioni wote wametulizwa...Kimyaaaa !!!
Obama alipitisha sheria nyingi sana zilizoingilia maisha ya Wamarekani moja kwa moja. Mpaka vyakula wanavyopaswa kula watoto mashuleni. Bima za afya kwa lazima...Amekuja "kichaa" Trump amezifuta zote. Hoja yake kubwa ni kwamba serikali isiingilie sana maisha ya watu. Mtu ale anachotaka. Hata akiamua kutokuwa na bima akiugua afe ni halali yake. Ndiyo maana ya uhuru...Serikali kazi yake kulinda raia. Na kutoa huduma za umma...kwa mfumo uliopangwa. Mengine haya watu wawe huru...View attachment 1329726