Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hasa Hawa man u[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawaamini kibao kilivyowabadilikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi mashabiki w liverpool tuliokuwepo kwa muda kiasi, tumevumilia mengi.
Jiulize kucheza ligi yenye ushindani ukiwa na kikosi madhubuti, lakaini miaka 30 unasotea ubingwa.
Je wewe ungeweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 30 sio mchezo,mlikuwa mnakwama wapi wazee?[emoji23][emoji23]

Au ndio vile matumiz rasm ya VAR yalikuwa bado hajaanza kutumika[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…