Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio jina langu[emoji134][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli wasichana wa kazi waitwao stella ni janga.
Kuna mmoja alikaribia jumaliza wavulana na wababa mtaa mzima[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio jina langu[emoji134][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe likubali tu yaishe. Ukiendelea kukomaa ndiyo kabisa litakamata....

Ila akina Stella huwaga warembo sana. Tulikuwa naye mmoja JKT maafande walikuwa wanamgombania kama mpira wa kona mpaka akahamishiwa kwa mkuu wa kambi kuwa anapikia wageni wakubwa wakubwa wakija kutembelea kambi. Kwenye kombania hatukumuona tena....

Stella Mamuya - toto jeupe guu guu tako tako umbo mkatiko vibukta vile vya makuruta havikubali aisee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…