Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwishoni Shimba alimtaja jina lake lote Stella Mamuya,, na mimi kambi niliyopiga course mujibu wa sheria kulikuwa na Mama mmoja mwanajeshi alikuwa anaitwa Afande Mamuya ndiyo maana nikamuuliza kuwa huyo Stella mama yake ni mwanajeshi au pengine labda ni majina tu yamefanana??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikwenda JKT zamani sana wakati wewe ukiwa bado hujazaliwa na kambi niliyokwenda hakukuwa na afande Mamuya labda kama alikuja baadaye. Mimi naongelea miaka ya 70 huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Andaeitini huwa wanajulikana tu[emoji1787]
Nilikwenda JKT zamani sana wakati wewe ukiwa bado hujazaliwa na kambi niliyokwenda hakukuwa na afande Mamuya labda kama alikuja baadaye. Mimi naongelea miaka ya 70 huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…