Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakwambia hana namba ya nida
wewe mwanaume hebu acha kiherereongea vizuri na Daemusin akuletee Zanzibar Pizza
Nimesikia nikakausha [emoji16][emoji16][emoji16]
ndio wapi huko?
kidogo siku hizi wamakunduchi wamepunguza sana kuzipa umuhimu hizo sherehe...
Mkatalunya ndio nani? Hebu acha kukwepa bwana mbona unanifanyia hivyo lakini kijana mpole [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimesikia nikakausha [emoji16][emoji16][emoji16]
Ohoo....basi mtoe TH uninunulie mimi dada yako[emoji3][emoji3]Mkatalunya ni Davet Mishil
Duhwewe mwanaume hebu acha kiherere
unadhani upo na mama watoto wako hapa.....
ilisikika sauti ya mwanaume kutoka usukumani