ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Baharia amenichekesha sana wallahi (kama siyo chai)[emoji3][emoji3][emoji3]
![]()
Wanawake mkiendelea hivi hamtoingia peponi
Enzi izo katika zululazula zangu Facebook nikapataga Manzi anamkwanja balaa sababu alikuwa ananitoa toa vivocha na vijicent. Siku akasema nikamtembelee kwao about 120 Km ivi, nikamwambia hapa sina hata Mia, akatuma nauli ya kwendea ya kurudi akasema atanipa nikifika. Ile Nimefika tukakutana...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigali hia ai kamu [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi mwenyewe nimecheka sana, nahisi ni chaiBaharia amenichekesha sana wallahi (kama siyo chai)
Kwani ukiwa na bwana mwenye kazi kama hii MPESA hawachaji gharama za kutolea?Halafu utasikia tuma na ya kutolea. Shwaiiiniii [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1338541
Ndiyo. Wako kama panzi sema wao huja kwenye makundi makubwa makubwa.