Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wanachaji....[emoji16][emoji16][emoji16]Kwani ukiwa na bwana mwenye kazi kama hii MPESA hawachaji gharama za kutolea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachaji....[emoji16][emoji16][emoji16]Kwani ukiwa na bwana mwenye kazi kama hii MPESA hawachaji gharama za kutolea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ni chai jamaa ameichemsha vizuri sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] mimi mwenyewe nimecheka sana, nahisi ni chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah hatari sanaNdiyo. Wako kama panzi sema wao huja kwenye makundi makubwa makubwa.
Nilikuwa nasimuliwa na mama zamani sana (1948) walipokuja na kusababisha njaa kubwa mikoa ya kanda ya ziwa. Sasa wamevamia tena ukanda mzima wa Afrika Mashariki na wasipodhibitiwa madhara yake ni makubwa. Wao hula kila mmea na kumaliza kabisa kabisa....
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu anatia huruma kweliHata kama ni chai jamaa ameichemsha vizuri sana [emoji16][emoji16][emoji16]
D
Unajazaje jibu ambalo halipo aisee [emoji16][emoji16] utapata sifuri
Katika nchi nyingi zenye elimu ya maana hii inaruhusiwa. Ukiona majibu yaliyopo hayapo basi unaweza kupendekeza jibu lako ali mradi tu utoe sababu ya kwa nini unafikiri jibu lako ni bora.Unajazaje jibu ambalo halipo aisee [emoji16][emoji16] utapata sifuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu yumo humo ndani Kwenye hilo dude [emoji44][emoji33]..akidumbukia humu ndani?Halafu utasikia tuma na ya kutolea. Shwaiiiniii [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1338541
Katika nchi nyingi zenye elimu ya maana hii inaruhusiwa. Ukiona majibu yaliyopo hayapo basi unaweza kupendekeza jibu lako ali mradi tu utoe sababu ya kwa nini unafikiri jibu lako ni bora.
Jibu hapo ni D: Mwongeaji kidogo, mkimya kidogo....
Humruhusu halafu mtakula nini?Kuna mtu yumo humo ndani Kwenye hilo dude [emoji44][emoji33]..akidumbukia humu ndani?
Kama Ni mume wangu siwez mruhusu akahatarishe maisha hapo[emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kafaudu mauno ya Shakira na JLO wakati wa halftime! 😀😀Mwenyewe tiketi nimepewa tu na soja mmoja hivi alikuwa denti wangu. Midola hiyo Gamboshi unatajirika aisee....halafu gemu yenyewe wala siyo mshabiki kivile. Zingekuwa ngumi labda [emoji16][emoji16][emoji16]