Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Umeona lilivyoinama Hilo dude?[emoji29]..
Kwa hiyo bora mfe njaa wote wawili si bora afe mmoja akitafuta [emoji125][emoji125]Umeona lilivyoinama Hilo dude?[emoji29]..
Haki ya Nani Bora tufe njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo bora mfe njaa wote wawili si bora afe mmoja akitafuta [emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto utadhani akienda ile namba two anafyatua keki siyo. 😀 😀Kigali hia ai kamu [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji16]
Usiogope, hata ukipata anayekaa ofisini ipo siku anaweza kufa kwa ajali cha muhimu ni kumuombea tu nae atakuwa salama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo machungu ya kufiwa mume sijui yatakuwaje jamani[emoji134]..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpole sana eeh? Halafu una sound kama ID flani hivi ya "Hawachi"? Sijui kama nimeipatia.Usiogope, hata ukipata anayekaa ofisini ipo siku anaweza kufa kwa ajali cha muhimu ni kumuombea tu nae atakuwa salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpole? Sina hakika [emoji3][emoji3][emoji3] Hawachi mbona yupo na I'd yakeWewe ni mpole sana eeh? Halafu una sound kama ID flani hivi ya "Hawachi"? Sijui kama nimeipatia.
Hahaa... Wakati mwingine maandishi yanawakilisha tabia ya mtu. Hawachi sijamuona kitambo ndio maana nikahisi pengine ni wewe.Mpole? Sina hakika [emoji3][emoji3][emoji3] Hawachi mbona yupo na I'd yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe unaona maandishi yangu ya kipole? Mimi ni khantweHahaa... Wakati mwingine maandishi yanawakilisha tabia ya mtu. Hawachi sijamuona kitambo ndio maana nikahisi pengine ni wewe.
Hahaa, aisee! Itabidi nihakiki na SYB. 😀 😀
Uhakiki nini?Hahaa, aisee! Itabidi nihakiki na SYB. [emoji3] [emoji3]