Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baharia amenichekesha sana wallahi (kama siyo chai)
 
Kumbe hawa ndio nzige

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo. Wako kama panzi sema wao huja kwenye makundi makubwa makubwa.

Nilikuwa nasimuliwa na mama zamani sana (1948) walipokuja na kusababisha njaa kubwa mikoa ya kanda ya ziwa. Sasa wamevamia tena ukanda mzima wa Afrika Mashariki na wasipodhibitiwa madhara yake ni makubwa. Wao hula kila mmea na kumaliza kabisa kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…