Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1580235522419.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asipokwenda kufanya kazi mtakula nini? Mabarabara ya hatari na miradi mingine tata na migumu huwa inaondoka na watu wengi sana. Wengine inabidi wajitolee maisha ili wengine waje waishi kwa raha. Hata mumeo angekufa kwenye kazi kama hii angekufa kifo cha utumishi....
Kuna kazi nyingi za kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto utadhani akienda ile namba two anafyatua keki siyo. [emoji3] [emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kuna watu Mungu Aliumba aisee. Kuna mmoja majuzi nilikutana naye Costco ooh Jizazi...Ilibidi tu nijikaze nimsalimie angalau. Cha kushangaza alikuwa mpole na mwongeaji sana ila dah basi tu....
 
Nchi hizo ndiyo zinaongoza kwa kuwa na elimu bora duniani. Mimi pia ni mwalimu na katika madarasa yangu huwa nasisitiza sana wazo hili katika mitihani na semina zote za wanafunzi wangu. Wakiona jibu ninalopendekeza halifai basi waje na jibu lao na nikilikubali basi hapo ni mwendo wa A+ tu. Kwenye evaluation huwa wanaappreciate sana kuwapa nafasi hii ya kutoa mawazo yao kwa uhuru. Na katika darasa moja zuri sana nilikusanya mawazo yao mbadala nikayapanga vizuri nikawapa na kuwashauri wayarekebishe halafu wayatume kama pepa kwenye jarida fulani hivi zuri la kitaaluma. Baada ya miaka miwili pepa yao ilichapishwa. Walichokuja kunifanyia sitakaa nisahau na mpaka leo ukiingia ofisini kwangu utakuta kumbukumbu yao. Elimu ya maana inapaswa kuwapa nafasi wanafunzi ya kufikiri sana tena nje ya boksi ikiwezekana na siyo hii ya kukaririshana tu....
Aisee we ni mwalimu bora naomba ns mimi nafasi ya kuwa mwanafunzi wako [emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom