Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bila kujipanga wanaweza kuleta baa kubwa la njaa. Huko Kenya wanaleta balaa tayari. Tuombe wasifike kwetu kwa sababu hat sijui kama tuna uwezo wa kuwaua kwa aerial fumigation...Hao wadudu ni balaa..