Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unajichanganya sasa. Haka na yule mwingine nani uko tayari kumpa zawadi yako kubwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wote wakali.
Gerrard alinifanya niipende liver

Ila haka kachotara kako Moto aisee[emoji91][emoji91][emoji91]
Screenshot_20191227-224814.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipona? Na kingetoboka kweli mimi nilijishona karibu nusu ya ukucha, imagine sindano inachana ukucha na kutokezea upande wa pili, kama nguo yani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipona,ile nakanyaga Mara nikakaribisha kidole,almanusura nishone kidole changu..
Nilikuwa nakunja kitenge,niliacha hapo hapo sikurudi Tena kumalizia ile siku[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom