moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tatizo ni kwamba ni otomatiki [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa hiyo dawa ni kudhibiti damu isiende kichwa cha chini kizembe si ndio [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16] hamna unaweza kabisaTatizo ni kwamba ni otomatiki [emoji16][emoji16][emoji16]
Kaka yako? Nilishakataa mimi kuitwa kaka humu. Nina dada mmoja tu humu fulu stopu. Afadhali uniite ile Mzee wetu kuliko huu ukaka usio na kichwa na miguu. Period !!![emoji16][emoji16][emoji16]Mambo mengi kaka yangu, kilikuwa ni kitendo cha kufumba na kufumbua sijui hata ilitokeaje
Sent using Jamii Forums mobile app
So wote wawili watapata zawadi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wote wakali.
Gerrard alinifanya niipende live
Ila haka kachotara kako Moto aisee[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1338908
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimi umeteleza, ona sasa umeskip hadi main pointKaka yako? Nilishakataa mimi kuitwa kaka humu. Nina dada mmoja tu humu fulu stopu. Afadhali uniite ile Mzee wetu kuliko huu ukaka usio na kichwa na miguu. Period !!![emoji16][emoji16][emoji16]
Haiwezi kutolewa kwa watu wawili[emoji16][emoji16][emoji16] if you know you know [emoji125][emoji125][emoji125]So wote wawili watapata zawadi?
U-Kaka utakukosesha nini kwani poti? 😀 😀Kaka yako? Nilishakataa mimi kuitwa kaka humu. Nina dada mmoja tu humu fulu stopu. Afadhali uniite ile Mzee wetu kuliko huu ukaka usio na kichwa na miguu. Period !!![emoji16][emoji16][emoji16]
Eti nyie wenzetu wenye exposure hii kitu inawezekana kweli au chai
![]()
Mjue mtu aliyemaliza kusoma kitabu kwa muda mfupi zaidi
Anaitwa Anne Jones. Ni katika mwaka wa 2007, baada ya kuachiwa ujazo wa mwisho wa kitabu cha Harry Potter chenye jumla ya Page 784, Anne alifanikiwa kumaliza kusoma kitabu hicho kwa muda wa Dakika 47 tu. Kwa maana hiyo, Anne aliweza kusoma Maneno 4,200 kwa dakika. Ina maana, alikuwa na wastani...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haraka haraka nilifikiri ameshika ilani ya chama cha kijani kibichi.