myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jua linachomoza na matumaini mapya..
Safiii sana
Pendeza hapo...............
Zawadi gani?[emoji1787]So wote wawili watapata zawadi?
Zawadi gani mnaizungumzia nyie[emoji23][emoji23]Haiwezi kutolewa kwa watu wawili[emoji16][emoji16][emoji16] if you know you know [emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
It is possible [emoji3526]Eti nyie wenzetu wenye exposure hii kitu inawezekana kweli au chai
![]()
Mjue mtu aliyemaliza kusoma kitabu kwa muda mfupi zaidi
Anaitwa Anne Jones. Ni katika mwaka wa 2007, baada ya kuachiwa ujazo wa mwisho wa kitabu cha Harry Potter chenye jumla ya Page 784, Anne alifanikiwa kumaliza kusoma kitabu hicho kwa muda wa Dakika 47 tu. Kwa maana hiyo, Anne aliweza kusoma Maneno 4,200 kwa dakika. Ina maana, alikuwa na wastani...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbukeni ameshashinda Zaidi ya Mara 6 mashindano ya kusoma kwa haraka.Asee hiyo speed hata mi nimeshangaa sana.
Maana kuna muda ni lazima utulie kidogo ili ujumbe ukuingie.
Sent using Jamii Forums mobile app