ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kuna kazi nyingi za kufanyaAsipokwenda kufanya kazi mtakula nini? Mabarabara ya hatari na miradi mingine tata na migumu huwa inaondoka na watu wengi sana. Wengine inabidi wajitolee maisha ili wengine waje waishi kwa raha. Hata mumeo angekufa kwenye kazi kama hii angekufa kifo cha utumishi....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kuna watu Mungu Aliumba aisee. Kuna mmoja majuzi nilikutana naye Costco ooh Jizazi...Ilibidi tu nijikaze nimsalimie angalau. Cha kushangaza alikuwa mpole na mwongeaji sana ila dah basi tu....Mtoto utadhani akienda ile namba two anafyatua keki siyo. [emoji3] [emoji3]
Hapo sasa. Cha muhimu hapo tu awe na bima ya kueleweka ili akiporomoka huko nyie mnaachwa na mamilioni yenu mnaendelea na maisha vizuri...
Saint anne. Kama mumeo ni dereva wa malori hapa vipi? Utamwachia apite hii route au nayo ni no no nooo...[emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee we ni mwalimu bora naomba ns mimi nafasi ya kuwa mwanafunzi wako [emoji85]Nchi hizo ndiyo zinaongoza kwa kuwa na elimu bora duniani. Mimi pia ni mwalimu na katika madarasa yangu huwa nasisitiza sana wazo hili katika mitihani na semina zote za wanafunzi wangu. Wakiona jibu ninalopendekeza halifai basi waje na jibu lao na nikilikubali basi hapo ni mwendo wa A+ tu. Kwenye evaluation huwa wanaappreciate sana kuwapa nafasi hii ya kutoa mawazo yao kwa uhuru. Na katika darasa moja zuri sana nilikusanya mawazo yao mbadala nikayapanga vizuri nikawapa na kuwashauri wayarekebishe halafu wayatume kama pepa kwenye jarida fulani hivi zuri la kitaaluma. Baada ya miaka miwili pepa yao ilichapishwa. Walichokuja kunifanyia sitakaa nisahau na mpaka leo ukiingia ofisini kwangu utakuta kumbukumbu yao. Elimu ya maana inapaswa kuwapa nafasi wanafunzi ya kufikiri sana tena nje ya boksi ikiwezekana na siyo hii ya kukaririshana tu....
Waache wanaume wawe wanaume. Wakiwa legelege kama hawa wa Dar napo mnalalamika [emoji16][emoji16][emoji16]Kufa najua kupo ila Kuna kazi jamani lol!
Ona Kama hiyo yaani Ni hatari mno
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapo sasa. Cha muhimu hapo tu awe na bima ya kueleweka ili akiporomoka huko nyie mnaachwa na mamilioni yenu mnaendelea na maisha vizuri...