Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bila kujipanga wanaweza kuleta baa kubwa la njaa. Huko Kenya wanaleta balaa tayari. Tuombe wasifike kwetu kwa sababu hat sijui kama tuna uwezo wa kuwaua kwa aerial fumigation...Hao wadudu ni balaa..
Nyoo eti mume wangu mpenzi, si utaolewa na mwingine?Mamillioni na uhai wa mtu kipi Cha muhimu?
Yafaa Nini kupata mamillioni ya dollari na kumkosa mume wangu mpenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maliasili zikitumiwa vizuri + viongozi wenye maono....Uarabuni kumekua mbelee sana...
Eti mzee wa watu [emoji24][emoji24][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] hilo mbona unaweza kuhakiki hata wewe bila hata kumsumbua mzee wa watu. Sio siri maana nilichofanya nimebadili tu username sijacreate ID nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli tupu. Falme zimeanguka. Watu wamepigwa mvua 30. Watu wameua. Kuna waliofilisika. Wengine magonjwa ya kutisha....Wanasema mwanamme ana damu inayomtoshwa kichwa kimoja tu na yeye ana vichwa viwili, damu ikiwa Kichwa cha chini cha juu hakifanyi kazi. - FaizaFoxy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watoto wa Ibrahimu hawa hawatakaa waelewane hawa mpaka mwisho....
- Jerusalem "will remain Israel's undivided capital". Both Israel and the Palestinians hold competing claims to the holy city. The Palestinians insist that East Jerusalem, which Israel occupied in the 1967 Middle East war, be the capital of their future state.
- An opportunity for Palestinians to "achieve an independent state of their very own" - however, he gave few details.
- "No Palestinians or Israelis will be uprooted from their homes" - suggesting that existing Jewish settlements in the Israeli-occupied West Bank will remain.
Hivi Hilo carterpillar sijui tractor mmeliona vizuri nyie!?Waache wanaume wawe wanaume. Wakiwa legelege kama hawa wa Dar napo mnalalamika [emoji16][emoji16][emoji16]
We si ndio unasemaga unatembelea mkongojo, tukitaka tukuite baby hutaki unataka tukuite babu.... Wacha tukupe heshima yako bwana si unaitaka[emoji16][emoji16][emoji16]Eti mzee wa watu [emoji24][emoji24][emoji16][emoji16][emoji16]
Bangi nazo siyo nzuri. Bob miaka 30 tu lakini kachakaa balaa....
[emoji16][emoji16][emoji16] we andaeitini acha usanii eti unapenda mazima, unajua kupenda wewe?
Unafikiri mpaka ameamua kufanya hii kazi hizo kazi zingine hajaziona?
Nimeuliza pale juu kwamba hii Ni barabara?@Saint Anne. Kama mumeo ni dereva wa malori hapa vipi? Utamwachia apite hii route au nayo ni no no nooo...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa hiyo dawa ni kudhibiti damu isiende kichwa cha chini kizembe si ndio [emoji3][emoji3]Kweli tupu. Falme zimeanguka. Watu wamepigwa mvua 30. Watu wameua. Kuna waliofilisika. Wengine magonjwa ya kutisha....
Kichwa cha chini kisipothibitiwa (kama inavyojionyesha kwa wazee wa kula tunda kimasikhara), madhara yake ni makubwa [emoji16][emoji16]