Sisi hatuna maneno mengi kazi yetu ni kufanha kazi.πππ huyu Zurri ntamgeuza Bayya mda si mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You made my day beautiful[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mkubwa anamkosea heshima mkubwa wake, dawa yake ni kumshikisha adabu nakuchukulia huyu mwanamke Ayyannataratibu kijana mbona speed sana, inaonyesha kwenu hakuna wakubwa maana huna adabu kabisa na wakubwa
πππmbona ipo wazi kabisa hii bro
Sijambo Gulf.. Shikamoo
Sisi hatuna maneno mengi kazi yetu ni kufanha kazi.
Subiri uone.
Nyama,samaki[emoji7][emoji39][emoji39][emoji39]Njoo tule, we nawe uko mbali sanaView attachment 1340932View attachment 1340933
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiongozi umekuja?
Mwenye Mali zake leo yupo hapa.
Hata hivyo hapa ni full utani, uwe na amani, ingawa kwenye utani huu kama kuna atakayeingia kwenye anga zako, basi kazi ni kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaa. Ngoja nimuonyeshe kama ujanja ni kuwahi au kumiliki.Kiongozi umekuja?
Mwenye Mali zake leo yupo hapa.
Hata hivyo hapa ni full utani, uwe na amani, ingawa kwenye utani huu kama kuna atakayeingia kwenye anga zako, basi kazi ni kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211]
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo nimerud leo nakuta majaribio ya kunipindiuaHahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Bro ulipotea sana, watu walikuwa wanaingia kwenye zizi lako kienyeji aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app