Sitakupiga Sana[emoji2].
ndo nimerud leo nakuta majaribio ya kunipindiua
#vijanaWanatakaVita
ππππ piga kazi mzeeSisi hatuna maneno mengi kazi yetu ni kufanha kazi.
Subiri uone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseegazeti la urojoo.
mfilisti ndembe ndembe,
atokwa na jasho msimu wa baridi...
amtishia mpinzani wake aliyejitokeza siku chache....
aonekana kwa mganga akitafuta tiba ya tatizo lake linalomsumbua.
ujumbe wa mhariri daemusin..
ukitaka wa peke yako nenda kiwanda cha sabuni.
Sitakupiga Sana[emoji2].
Nikikupiga kidogo unadondoka halafu tunashinda hizo hela[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye kisu kikali ndo mla nyama.ππππ piga kazi mzee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]Twende tukajaze fomu, ila masharti yake kibao kwangu kisha kinakuja kwok
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajanipa kabisa,nimesikia tu kwamba unapiga sound kama mimi.
Kama hivyo ngoja nikuachie mkeo, maana sitakiwi kufanya jambo ambalo nikifanyiwa naweza kuua mtu hadharani kabisa.πππ mbona namiliki kitambo mzee na mtoto mzuri Ayyanna ameanza kutema mate na kula maembe mabichi tayari
unataka usaidie kulea?
πππ Ayyanna hebu njoo huku
hebu muulize Don SHIMBA YA BUYENZE akupe copy ya cheti cha ndoa maana yeye ndio mtunza kumbukumbu humuHawajanipa kabisa,nimesikia tu kwamba unapiga sound kama mimi.
ha ha ha ha yaani jirani unaona kabisa vijana wanataka kuchukua jimbo langu umekaa kimya tu?gazeti la urojoo.
mfilisti ndembe ndembe,
atokwa na jasho msimu wa baridi...
amtishia mpinzani wake aliyejitokeza siku chache....
aonekana kwa mganga akitafuta tiba ya tatizo lake linalomsumbua.
ujumbe wa mhariri daemusin..
ukitaka wa peke yako nenda kiwanda cha sabuni.