D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
unataka nilale na njaa haliyakuwa unafahamu fika kazi ya uandishi wa habari haifungamani na upande wowote..ha ha ha ha yaani jirani unaona kabisa vijana wanataka kuchukua jimbo langu umekaa kimya tu?
sidhani kana mkataba wa ndoa upo...hebu muulize Don SHIMBA YA BUYENZE akupe copy ya cheti cha ndoa maana yeye ndio mtunza kumbukumbu humu
Dah! Kiwanda cha sabuni!gazeti la urojoo.
mfilisti ndembe ndembe,
atokwa na jasho msimu wa baridi...
amtishia mpinzani wake aliyejitokeza siku chache....
aonekana kwa mganga akitafuta tiba ya tatizo lake linalomsumbua.
ujumbe wa mhariri daemusin..
ukitaka wa peke yako nenda kiwanda cha sabuni.
yes, akatengenezewe size aipendayo na harufu aipendayo.Dah! Kiwanda cha sabuni!
Kumbe na wewe Mwindaji humu?
zitakua hujuma za wazi sasa kama computer ya SYB nayo imeibiwasidhani kana mkataba wa ndoa upo...
nilisikia computer za chief prosecutor wa hii thread ziliibiwa na wasiojulikana.
Aisee udenda umentokaNjoo tule, we nawe uko mbali sanaView attachment 1340932View attachment 1340933
Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba unamaanisha nini?yes, akatengenezewe size aipendayo na harufu aipendayo.