ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
wakuu kwema humu?
Nimerudi aisee ila kwa sasa sio anadaeitini tena ni andatwenti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baharia huwa hatoi siri zake [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1342314
Hahaha daahh huu unga gani umetumika?
Wewe unazivaaga mpendwa? Unaweza kutupia kapicha tukaona? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hii siyo mara yake ya kwanza kukumbana na misukosuko hii ya rushwa...Wenzake wasomi akina Joka Makengeza wanapiga pesa ndefu kijanja yeye anasaini mamikataba ya ajabu waziwazi bila hata kuangalia upepo ulivyo. Dili za pesa ndefu hizi unakula na watu wa karibu wa mkuu mwenyewe kama inavyosemekana kwa Joka Makengeza kuwa mpaka akina Riz One na akina Lugumi walipata mgao...Kutoka kwenye kunyenyekewa na vikosi vya jeshi la polisi, magereza, uhamiaji nk, mpaka kuchunguzwa na TAKUKURU siyo jambo dogo, hata ungekuwa wewe lazima sukari ipande, presha, vidonda vya tumbo na maruweruwe mengine.
Ila akumbuke aliyomfanyia kamishina wa magereza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Title deed za mashamba ya ukoo au za nini?We Sukuma men do not buy you flowers on valentines day. We just hit you with a title deed.
Eti ni kweli??[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ofu kozi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1342323
Jamani [emoji23][emoji23]Mbeya wameanza lini kula chapati?
Lazima watavuruga muonekano wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Za nyumba [emoji16][emoji16]Title deed za mashamba ya ukoo au za nini?
Mwambie pasta ashushe huo mguuWengine ni wagonjwa wa akili...
View attachment 1342391
Kubana bana miguu, kujinyonga nyonga na kuleta shobo zisizo na maana kazini[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]