Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyts Sisters[emoji177]
20200104_111437.jpeg
 
Acha tu ayaone[emoji23][emoji23]
Hii siyo mara yake ya kwanza kukumbana na misukosuko hii ya rushwa...Wenzake wasomi akina Joka Makengeza wanapiga pesa ndefu kijanja yeye anasaini mamikataba ya ajabu waziwazi bila hata kuangalia upepo ulivyo. Dili za pesa ndefu hizi unakula na watu wa karibu wa mkuu mwenyewe kama inavyosemekana kwa Joka Makengeza kuwa mpaka akina Riz One na akina Lugumi walipata mgao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chapati zenyewe mnakula kiunevu .
Chapati unaitoboa katikati !!![emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni kuweka shimo katikati ya chapati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Jamani [emoji23][emoji23]
Acheni kutuonea.
Mbeya tunakula chapati tangu enzi za mwalimu.
Anayebisha aje nimpikie mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom