The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji123][emoji123][emoji123]Nyts Sisters[emoji177]View attachment 1342561
Dadeq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora ninywe chai thermos mbili kuliko nimwambie mtu eti tuyamalize
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii siyo mara yake ya kwanza kukumbana na misukosuko hii ya rushwa...Wenzake wasomi akina Joka Makengeza wanapiga pesa ndefu kijanja yeye anasaini mamikataba ya ajabu waziwazi bila hata kuangalia upepo ulivyo. Dili za pesa ndefu hizi unakula na watu wa karibu wa mkuu mwenyewe kama inavyosemekana kwa Joka Makengeza kuwa mpaka akina Riz One na akina Lugumi walipata mgao...
Jamani [emoji23][emoji23]
Acheni kutuonea.
Mbeya tunakula chapati tangu enzi za mwalimu.
Anayebisha aje nimpikie mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyakyusa ni habari nyingine. Hata Wasukuma wakasome [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbagala mambo ni fayaa...[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1342401
Hivi nyie hammuonei huruma?
Moud umefurahi Sana eeh?[emoji1787][emoji1787]