Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Soma vizuri basi bana uelewe.......

Jumapili inamalizikaje?
Jumapili yangu iko poa kabisa. Umenikumbusha mama mmoja wa kichaga alitufundisha biology form four, siku moja sikumbuki alikuwa anaongelea nini wadau wakauliza hilo swali akajibu kiafya inatakiwa upite mwezi mmoja ila mimi nikiona niko vizuri mume wangu huwa nampa kabla ya huo mwezi, sasa aende wapi[emoji16][emoji16][emoji16] na lafudhi ile ya kichaga watu tulibaki hatuna mbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni kama mimi bro. Siji kufa kwa presha eti kisa mtu kaenda kupigisha mbunye yake huko. Akaipigishe tu lakini ahakikishe asiniletee magonjwa miye na ikiwezekana sana nisijue. Uhuru ni ghali !!!

[emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Kweli mkuu, vitu vingine ni bora hata usijue. Ukujua ndio mwanzo wa kufa kwa msongo wa mawazo. Cha msingi nidhamu iwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…