Ayyanna
JF-Expert Member
- Jan 5, 2020
- 397
- 2,648
Nimekupa like, wewe si ndio mke wa mtu ?
Sijui ndiye Fragaria huyu?
Sijui ndiye prof Pyaar?
Vurugu tupu aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Numby napaliwa...si kwa vituko vyako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi dada yake hatuwezi kuwa mke na mume.Tuhangaike wote kwa pamoja. Tunaweza fanikiwa aisee...
Mpendwa Hawachi pulizi malizia hiyo nafasi moja iliyobaki kwa Ostaadh [emoji1545][emoji1317]
Numby napaliwa...si kwa vituko vyako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi Ayyanna sijawahi kujulikana kama mke wa mtu.
Oya nitakumind ujue ?Mimi dada yake hatuwezi kuwa mke na mume.
Nipo namlisha kwanza....nisije achika mapema.
Ina maana mfilisti alikuwa anatufunga kamba? Kwamba si ndoa tu bali tayari eti mpaka unatema tema mate hovyo, kula udongo pamoja na maembe mabichi? Dah !!Mimi Ayyanna sijawahi kujulikana kama mke wa mtu.
Hapa pagumu sana bro. Labda huko mbele ya safari nitajua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tusaidie wewe mtu wa Data
Ostaadh kuna ukweli katika hili? Ni udada wa aina gani huu? Wa kweli kweli au wa kishikaji tu?Mimi dada yake hatuwezi kuwa mke na mume.
Ostaadh kuna ukweli katika hili? Ni udada wa aina gani huu? Wa kweli kweli au wa kishikaji tu?
Yaishe mpendwa huwezi utani sorryOya nitakumind ujue ?
Natania tu, najua utani bibie.Yaishe mpendwa huwezi utani sorry