D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Lilikuwa pigo kubwa kwa Manchester United. Nilikuwa na miaka 13....
Umeona ee ndo hali ilivyo aiseee[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza
Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma. Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake. Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau ULEVI...www.jamiiforums.com
Pale wameongelea mengine nami sitaki tabia ya kuhamisha michango ya watu
Daaah mara hii andaeitini ushaanza kujiweka kundi la wakubwa aiseeee.Esta hausalimii wakubwa zako sikuhizi😀
Lilikuwa pigo kubwa kwa Manchester United. Nilikuwa na miaka 13....
Lilikuwa pigo kubwa kwa Manchester United. Nilikuwa na miaka 13....
Lilikuwa pigo kubwa kwa Manchester United. Nilikuwa na miaka 13....
Bro kwa hiyo tunaweza tambua umri wako
nataka niamini lakini wakati huo huo nataka nipingane na huo umri.....Lilikuwa pigo kubwa kwa Manchester United. Nilikuwa na miaka 13....
Bro bana hata mie siamini huo uhenga wakenataka niamini lakini wakati huo huo nataka nipingane na huo umri.....
kwa nini naamini?
nakumbuka kuna comment fulani uliandika humu ndani, ulisema mwaka 1942 kama nitakuwa nipo sahihi mzazi wako wa kike alishuhudia tukio la njaa iliosababishwa na uvamizi wa nzige.
kwa nini nakataa?
siamini kama unagonga miaka 70 kwa huu uandishi wako uliojaa ujana wa miaka 40
kama ni kweli basi tumpe hongera kwa kujaaliwa baraka teleee...Bro bana hata mie siamini huo uhenga wake