Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tulikua tunataka sehemu tulivu ya kutoa maoni bila kutukanwa,si umeona mleta mada kaitwa kila aina ya majina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]πππ nimesoma comment zote lakini kuna comment zipo kwenye uzi wa likes zilitakiwa ziwepi kwenye huu uzi
Humu ndo kila kitu na yote yanawafikia walengwaUnashaurije?
Tusogeze madini kule?
Jizazi[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa mhenga wa miaka 70 na utaweza kuwa guide kweli wa kupandisha watu mlima mpaka juu kule kweli?
ππ Au mnaogopa asiwalogeTulikua tunataka sehemu tulivu ya kutoa maoni bila kutukanwa,si umeona mleta mada kaitwa kila aina ya majina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiseme hivyo. Haya mambo ni magumu sana. Wafuasi wengi wa hizi cults ni wasomi na wengi wanaielewa Biblia vizuri sana. Hata wewe siku moja waweza kujikuta umetumbukia kwa hawa watu husikii huambiliki uko tayari hata kutengana na familia na marafiki ukiamini kabisa kabisa kuwa wewe ndiyo upo katika njia sahihi na wengine wote wamepotoka.
Acheni. Ishapita hiyo.Unashaurije?
Tusogeze madini kule?
Andaeitini wanajulikana tu[emoji16]Lilikuwa pigo kubwa kwa Manchester United. Nilikuwa na miaka 13....
Humu ndo kila kitu na yote yanawafikia walengwa
Hata Mimi nashangaa.
Yeye kucomment karibia majukwaa yote watu hawapendi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaogopa mapovu kama ya anne hapo juuππ Au mnaogopa asiwaloge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa kabisa....akija huku atapewa LIKES mpaka awe mpole....
Acheni. Ishapita hiyo.
Huyu andatwenti tu,wala usiumize kichwa[emoji1787]nataka niamini lakini wakati huo huo nataka nipingane na huo umri.....
kwa nini naamini?
nakumbuka kuna comment fulani uliandika humu ndani, ulisema mwaka 1942 kama nitakuwa nipo sahihi mzazi wako wa kike alishuhudia tukio la njaa iliosababishwa na uvamizi wa nzige.
kwa nini nakataa?
siamini kama unagonga miaka 70 kwa huu uandishi wako uliojaa ujana wa miaka 40
Ajali ya ndege
We nawe sometimes dah !!!
Hao wanasaikolojia waliotunga hizo dhana wana wivu na nani?
Dadeq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hio quote imetembea mpaka nimeshangaa halafu aliyeitembeza kaibuka na id mpya duh
Shida yako uko kabishi naturally. Yaani hata husomi na kuelewa logic ya comment ya mtu.Nizame Kwenye kununua tiketi za mbinguni?
Labda siku nikiwa kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaogopa mapovu kama ya anne hapo juu