Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaogopa mapovu kama ya anne hapo juu
Kama wewe vile mara unasema humfahamu bado unajigeuza mtetezi wake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe nyie waoga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani.Shida yako uko kabishi naturally. Yaani hata husomi na kuelewa logic ya comment ya mtu.
Nina likitabu hapa linaitwa Kingdom of the Cults. Waandishi wamechambua cults zote kubwa kubwa. Nilichofanya hapo juu ni kutoa tu mojawapo ya majumuisho yao makuu kuhusu elimu na welewa wa maandiko wa wafuasi wengi wa cults hizi.
Brainwashing ni mbaya na ikifanyika vizuri inaweza kumkumba ye yote. Usije kushangaa hata sasa ukajikuta umo kwenye cult ya ulokole japo hujui [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa upande wangu sijawahi ona kama ana tatizo.Kama wewe vile mara unasema humfahamu bado unajigeuza mtetezi wake.
Anne akiamua kutetea kitu huwezi shindana nae hapo hataona dosari yoyoteNjia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza
Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma. Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake. Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau ULEVI...www.jamiiforums.com
Basi simama upande wa haufahamu kitu huku ukisoma hali ya hewa taratibu sio kila unabisha kwenye kila post wakati haufahamu kinachoendeleaKwa upande wangu sijawahi ona kama ana tatizo.
Siwezi kufwata mkumbo kuwa upande wa wanaompinga na Hali sijawahi ona tabia mbaya yoyote kutoka kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha Cole Williams anaipenda sana
Kwani hiyo link ina tatizo gani?Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza
Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma. Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake. Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau ULEVI...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi simama upande wa haufahamu kitu huku ukisoma hali ya hewa taratibu sio kila unabisha kwenye kila post wakati haufahamu kinachoendelea
Wewe ni kabishi tu hata kama ungeona nini na mtu aseme nini ukiamua kubisha unabisha tu [emoji36][emoji36][emoji36]Kwa upande wangu sijawahi ona kama ana tatizo.
Siwezi kufwata mkumbo kuwa upande wa wanaompinga na Hali sijawahi ona tabia mbaya yoyote kutoka kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata like hajanipaDadeq[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wahuni..wamekuja huku wakaibeba kimyakimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli sijaona tatizo lolote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anne akiamua kutetea kitu huwezi shindana nae hapo hataona dosari yoyote
Hii picha Cole Williams anaipenda sana
Ni mfano mmojawapo wa hoja mojawapo katika ile comment iliyoibwa na kwenda kuanzishiwa uzi.Kwani hiyo link ina tatizo gani?
Ameweka ili huyo dogo anayeomba ushauri asome..maana yawezekana huo uzi una maelezo yabkujitosheleza kuhusu tatizo lake.
Hapo kosa lake Ni lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli sijaona tatizo lolote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ni kabishi tu hata kama ungeona nini na mtu aseme nini ukiamua kubisha unabisha tu [emoji36][emoji36][emoji36]
Livapuu wanacheza lini kwanza?
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata like hajanipa